ENG
Mbio za hisani za kimataifa zilizoandaliwa na Benki ya CRDB “CRDB Bank International Marathon” kwa mwaka 2021 zimefanikiwa kuandika rekodi kwa kuvutia washiriki zaidi ya 5,000 ikiwamo maelfu ya raia wa kigeni. Jumla ya Shilingi za Kitazania Shilingi milioni 500 zimefanikiwa kukusanywa ambazo zitaelekezwa kwa ajili ya kusaidia jamii......
Mbio za mwaka huu zimevuka lengo la ukusanyaji wa Shilingi milioni 500, Shilingi Milioni 200 zimeelekezwa JKCI, Sh104 milioni zimeenda ORCI na kiasi kilichobaki kimeelekezwa katika kampeni za utunzaji wa mazingira...
Soma Zaidi
Soma Zaidi
Mbio za CRDB Bank International Marathon ambazo zimeendelea kutambulika kimataifa baada ya kupatiwa ithibati na World Athletics na AMIS, kwa sasa zina hadhi sawa na zile mbio za Sanlam Cape Town Marathon za Afrika Kusini na Boston Marathon za nchini Marekani......
Paulo Ayanaye raia wa Kenya aliibuka kinara wa mbio za 42km kwa upande wa wanaume akitumia muda wa 02:15:28, wakati Shelmith Nyawira raia wa Tanzania aliibuka mshindi kwa upande wa wanawake akitumia muda wa. Kwa mbio za 21km..........
Soma Zaidi
Soma Zaidi